Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
😂😂😂Nimeukumbuka sana leo, alafu Supplier yupo hapa hapa
Ata mimi ndio namuona sasa yani ukimwambia flow anakomaa na mashairi tuHuyu anajua tu mashairi sio flow
Mungu atuepushie gonjwa hilo 🙏 🙏 🙏COVID 19.
Maambukizi Barani AFRIKA mpaka Leo asubuhi YA APR, 11, 2020.
1. Afrika Kusini 2003
2.Misri 1794
3.Algeria 1761
4.Morocco 1448
5.Cameroon 820
6.Tunisia 671
7.Ivory Coast 488
8.Burkina Faso 428
9. Nger 438
10. Ghana 378
Chanzo cha habari ni Chuo kikuu John Hopkins cha Marekani
[emoji23][emoji23][emoji23] napapendaga tu hapo[emoji23][emoji23][emoji23] sijui ni nini kimekuvutia kwenye huo mstari?
"Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi ata Streka anaweza potea"
Rudi hapa[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]