Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vilabu vya ligi ya Primia vikiwemo Arsenal, Tottenham na Manchester City vinavyomlenga mlinzi wa RB Leipzig, Dayot Upamecano, 21, vimepata pigo kubwa kutoka kwa Real Madrid ambayo iko tayari kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Under-21 (Mirror)
 
Aliyekuwa nyota wa Argentina Hernan Crespo anaamini kwamba mshambuliaji wa Inter Milan Lautaro Martinez, 22, mzaliwa wa Argentina ambaye analengwa na Chelsea na Barcelona ana mengi yanayofanana na mshambuliaji nyota wa Manchester City Sergio Aguero. (Metro)
 
Sisi hatuamini kuhusu hilo.
Nimeweka hayo kwa niaba yenu.
Uslamu unakataa kusulubiwa msalabani Nabii ISSA as, maana aliyesulubiwa amelaaniwa.
Uislam unaamini kwamba wale waliomfukuza nabii Issa hawakufanikiwa kumpata maana Mwenyezi Mungu alimpaaza na kumuhifadhi na baadaye ataletwa kuja kutimiza wajibu wake kama nabii wa Mungu
Hivi kumbe Hadi nyinyi mnaamini kuhusu hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…