Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Anajikinga na Corona
Ile ya baba fulani kasimama tu 😀Picha ipi hiyo mpendwa 😀😀
Kichwa kina vitu vingi hata sikumbuki wallah labla niiyone tenaIle ya baba fulani kasimama tu 😀
Muda wangu wa kumiliki shama ukifika nitakuja huko kununua maana naelewa sana udongo wa hukoyes, wengi wao wapo makini sana linapokuja swala la kuishi pamoja (huamini ndoa ni ufunguo tosha wa kufunga komeo la kutelekezwa).
ukorofi unaendelea kuwepo kwa pande zote (teknolojia imeondoa kabisa uoga kwa wasichana)
Shida yote ya nini ana roho ya ajabuUsione vyaelea[emoji23][emoji23]View attachment 1417101
Shida yote ya nini ana roho ya ajabu
Mizigo inafika lakini au ndio unapindua gari kila muda?Hii mvua huku dar sio poa watu sahivi wametulia na wake zao ndani Mimi nacheza Euro Truck simulator hapa[emoji38][emoji38][emoji38]
Basi tuyaache hayaKichwa kina vitu vingi hata sikumbuki wallah labla niiyone tena
andaa mbolea ya kutosha......Muda wangu wa kumiliki shama ukifika nitakuja huko kununua maana naelewa sana udongo wa huko
Kujiamini na kujikubali ni kitu kizuri sana kwa Mwanamke.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani ila najitahidi kukumbuka mpendwaBasi tuyaache haya