Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
D hii ni Temple run?
Pamoja sana bro!Happy Easter
😂😂😂😂andaa mbolea ya kutosha......
wamiliki wa huku wanapenda sifa za kijinga.....
mara paap shamba umeuziwa kwa millioni 3......
mara paap shamba limeshawahi kulimwa mashimo ya muhogo, mtama, viazi, kunde.
unabaki kunung'unika kama mbuzi wa IDDI
Hahah sawa mpendwaShukrani ila najitahidi kukumbuka mpendwa
Mzigo unafika kaka [emoji23][emoji23]Mizigo inafika lakini au ndio unapindua gari kila muda?
bahati mbaya nimeishia kidato cha 4 hivyo basi sikuwahi kufanya research ya kilimo pendwa.......😂😂😂😂
Pia nasikia mashamba huko yanalimwa sana upande wa nyuma na watu wanaokodi, mpaka ukionyesha nia ya kununua ndio unapewa kipande cha mbele, sasa sijui kama kuna ukweli au ni saundi tu?
Haha! Kwa hilo jini kweli lazima mzigo ufike mzee, sema kuwa makini unaweza kusahau hata kula maana hiyo kitu huwa inateka sana akiliMzigo unafika kaka [emoji23][emoji23]
Nlikua Napush Volvo Gear 12 Manual Transmission
Aisee wewe kumbe ni mkorofi Sikuwahi kujua
Kujiamini na kujikubali ni kitu kizuri sana kwa Mwanamke.
Pamoja kaka ila wacha tuache hii issue ibaki kuwa kama Propaganda tubahati mbaya nimeishia kidato cha 4 hivyo basi sikuwahi kufanya research ya kilimo pendwa.......
ngoja niongeze elimu zaidi ili baadae nifanye huo utafiti
- huenda ni propaganda zenye lengo la kuzichafua ardhi zetu zenye rutba ya asili
- huenda pia hiyo habari ina ukweli ndani yake. kama ni kweli basi naamini wanaotenda hayo ni wachache sana na wale wasiofahamu madhara ya kilimo hicho kwa afya ya mazao.
Yaani sikutegemea leo kachangamka amekunywa Safari