Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
hongereni na poleni.......huku uswahilini kumefurika maji kama gharika ya NUHU.Huku chatow jua kali balaa
Poleni. Mvua na mafuriko plus hofu ya corona ni balaa. Huku tangu juzi hatuna mvuahongereni na poleni.......huku uswahilini kumefurika maji kama gharika ya NUHU.
uzuri wa hii mvua ya leo inadondosha na mapovu ndani yake.....basi virusi vya corona vyote vinakufa muda huuPoleni. Mvua na mafuriko plus hofu ya corona ni balaa. Huku tangu juzi hatuna mvua
Hahahahha daahuzuri wa hii mvua ya leo inadondosha na mapovu ndani yake.....basi virusi vya corona vyote vinakufa muda huu
Mungu ameamua kutusaidia kwa kutuletea chanjoHahahahha daah