Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Duh! Pole sana
Daah umenidondosha puuuuu kama gunia yaan hapo ungechomekea style yake ya kuomba pichaaaaDuh! Pole sana
Princess Runner au Subway surfer....ila hayana tofauti kubwa, nilikuwa nacheza la princess runner nilivyobadilisha simu sijadownload tena......Vipi Subway huchezi?
Hana shida kabisa,maana ananifanya niendelee kulala tuSafi sana kama wema upo Carba....
Huyo msindikizaji anatatizo kwani?
Niliomba picha nikafuta, asije kutuma pilau limeandikwa bae kama lile lako la kipindi kile 😀Daah umenidondosha puuuuu kama gunia yaan hapo ungechomekea style yake ya kuomba pichaaaa
List niliyokupa sio ya mchezo bro.. Endelea nayo, utafurahi zaidiup next: THE BRAVE
ole wako iwe mbaya bwana ningendako (nimeamua kuifanyia kazi ile list ya series ulionipa) ....... nimeshapakua episode 6 muda huu za kuanzia.
View attachment 1416637
The Brave hiyo?yote ameyataka ningendako........acha niendelee kujizoesha.
huyo mwanamke wa kizungu siku ya kwanza ya blind date anapiga mechi ya nyumbani.
pumbavu.....wakati mkorea mpaka umtongoze kwa episode 6 ndio upate kiss
Mambo bae? HaujamboPrincess Runner au Subway surfer....ila hayana tofauti kubwa, nilikuwa nacheza la princess runner nilivyobadilisha simu sijadownload tena......
Kabla jogoo hajawika nitakuwa nishadownload la Subway surfer
Mambo vp Prisca? Hope haujambo pande hizoKwa kuzingatia taratibu za sasa, baadaye alipimwa COVID-19 ingawa hapo awali hakuonyesha dalili za ugonjwa. Bila kutarajia, matokeo yalionyesha kuambukizwa. "