myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!
Ni kwetu kabisa na bandiko la serengeti juu.Kama ni kweli ni kwetu basi tuna tatizo kubwa sana
I Miss you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imeisha hiyooo[emoji113]
#Floki wewe mawenge sana [emoji855]
[emoji125][emoji125]Hii comment naitunza kwa matumizi ya baadayeKwema binti mrembo, mwenye mwanya wake,rangi na sura kwa Kagame...
MashaAllah
Amin CarleenShukrani sana sana ningendako na atufanyie wepesi kwa kweli..!!
Hahaaa!Kwema binti mrembo, mwenye mwanya wake,rangi na sura kwa Kagame...
MashaAllah
ππππMzee naona umeachwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio Bro, zote zake..Sifa zote zake ..
Niaje Bro?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππππ πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani ile Anko muanzisha uzi alivyo kimwaga tu, nikaona akina Anko wengine hao na vimayai vyao...
Sasa mimi nilisoma somo la siasa huku nikikariri ramani ya Tanzania na wakuu wa mikoa/wilaya bila kuwasahau mawaziri, hicho kimayai ningekijulia wapi?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ankoo elimu yangu ni ya kipindi kile cha kugusa sikio ndio uanze darasa la kwanza. Ulazima ilikuwa ni kuchunga ng'ombe, darasani ilikuwa ni hiari tu.Amina kubwa sana anko,
Ila ujue umeniacha na mixed feelings? Nimeshindwa ni like na ka emoji ka thanks, love ama nicheke,
Eti kizungu hakipandi mpaka nilewe.!
Hali ni tete
ππππImeisha hiyooo[emoji113]
#Floki wewe mawenge sana [emoji855]
Ur' missed tooI Miss you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unavyocheka unanichekesha π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]