Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hata hivyo chai si lazima kunywa (maneno ya mkosaji)

Bora waninyonge kuliko kunywa chai ya asali

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli bana chai sio lazima...sasa umefika ule muda wa kula mihogo/samosa/viazi na maji, kwanza sukari sio nzuri kwa afya.

Haha chai ya asali ina watu wake wengine wanawekaga mpaka na limao. Dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli bana chai sio lazima...sasa umefika ule muda wa kula mihogo/samosa/viazi na maji, kwanza sukari sio nzuri kwa afya.

Haha chai ya asali ina watu wake wengine wanawekaga mpaka na limao. Dah
Ni kweli sukari si nzuri kwa afya

Hizi bei zitanisaidia sana kunywa maji maana nilikuwa mvivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni Legend aliyeacha alama kubwa kwenye Mieleka View attachment 1421077
Yaani alikuwa akianza kupiga mtu haachi...kufumba na kufumbua taa zimezimwa na kuwashwa amenyonga mtu

Alikuwepo mwingine alikuwa anaitwa Umaga.. Yule jamaa anaweza kumtoa mtu roho mnashuhudia.. yaani alikuwa haachi kupiga hata Kama kengele ya ushindi imepulizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…