Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kijiji gani hicho? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] madhara ya kukaa mjini haya.
Sukari kamzidi hata mchele grade one
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti inazidi mchele grade A[emoji119]
Mbeya mtaa wa jirani elfu 3..sister alikuwa huko amerudi amenunua namuuliza sh ngapi akajibu elfu tatu,halafu Sasa akili zake zimemtuma anunue kilo Moja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woiii mwambie arudi akaongeze hata 2 asee. Mimi yamenikuta juzi hayo nimeenda kwa Mangi nikakuta 3200 nikaiona kubwa nikaacha kwa kuwa sukari ilikuwepo kiasi leo nafata nakuta elfu 4
 
Woiii mwambie arudi akaongeze hata 2 asee. Mimi yamenikuta juzi hayo nimeenda kwa Mangi nikakuta 3200 nikaiona kubwa nikaacha kwa kuwa sukari ilikuwepo kiasi leo nafata nakuta elfu 4
Anajua kabisa Kama zimepanda Bei
Eti anadhani itashuka Bei[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umaga alifariki.
Ila mara nyingi taa zinazimwa anapoingia Undertaker lakini pambano likiendelea huwa hawazimi Umaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…