Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Itakua ni ray mysterio

Yule jamaa kachongoka kiuno ni muhindi,nilianzaga kumfananisha na tarzan
Ewaaa huyohuyo
Rey Mysterio
Jamaa alikuwa na staili hatari Sana..anashawishi kumuangalia,mechi zake zilikuwa zinasisimua

Yule jamaa aliyechongoka kiuno aisee alikuwa anaminya vichwa vya wenzie Hadi unahisi anaua.
Yule jamaa Ni hatari...ila Naye walikuwa wanamdaka kwa kutengua kiuno chake kile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Alirudi kwao Mexico, kaingia ulingoni akaua mtu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Lol[emoji26]
Aliwahi toa roho ya mtu??
Ila kwa kile kiminyo Cha kichwa walahi unaweza kufa unajiona

Nasikia jamaa alishawahi pasua Mpira kwa kuminya tu vile.

Udhaifu wake kilikuwa kile kiuno...wakimtungua tu kiuno ujanja wote unakwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaa Usos wako vizuri
Baba yao Rikish, baba mdogo UmagaYokozuma na Fatu, kaka yao Joseph Fatu, mjomba yao Romans,binamu yao The Rock na shemeji yao Naomi wote wanavuma sana ukiachana na babu yao baba Romans na mjomba wao Dwayne Johnson senior. Ni uzao wa wana mieleka kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I will write you love songs in any Language,If I could make you mine[emoji8][emoji7][emoji445][emoji444]
And I would make to you Promises so that you'd Stay,with every single line[emoji443][emoji443]
I'll tell you what you'll want to know..
Usiendeeee, That means Don't goo[emoji441][emoji446][emoji445][emoji444]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh anko una historia ndefu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Video hiyo hapo.Unaweza ukaangalia full match kwa ku search


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji119][emoji119][emoji119]
Wote hao siwajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…