Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ngoja kwanza nikukomalieHahahahaha, jilijua unachotaka ndiyo maana nikakupiga stop mapema[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe unazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sijui niwaonyeshe ili nipunguze machungu ya kunyimwa juzi,[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema suu niweke[emoji23][emoji23]kumbe unazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile za emoj mbona utazipata hadi uzichokeKesho jiandae
Nakudai picha...nitakudai sitakuacha na nitaweka pamba masikioni hakuna Cha carba Wala th atakayenirudisha nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesho jiandae
Nakudai picha...nitakudai sitakuacha na nitaweka pamba masikioni hakuna Cha carba Wala th atakayenirudisha nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Hapa unajishauri kuoga... Baada ya dakika kumi na tano umeisha oga tena ya baridiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wote wawili hamuogi leo.
Majuzi Khantwe nae aligoma kuoga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Suuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nimeona mguu tu.
Strip tease hii jamani.
Aweke fulu tu
Nakwambia! tunatengeneza mdoliKwakuwa umepewa mguu na shogayo kapewa mkono na dada SA kapewa kifua.
Ushauri, ziungajnsheni picha hizo mjipatie kitu kamili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimekuelewa Mzee wa pwani. Nashukuru sana kwa uwepo wako hapa maana najifunza vitu vingi sana kutoka kwako.Ndiyo hapo, ila ule mkondo hivi sasa umepanuka.
Na hili la leo ni mara ya tatu kuonekana mamba eneo hilo.
Mara ya kwanza alionekana mwanzoni mwa 2018, aliuwawa na askari wa wanyamapori, baada ya miezi miwili akaonekana mwingine.
Na hii leo ameonekana mwingine wakati nikipita kwenye eneo hilo.
Inadaiwa analetwa hapo na mkondo wa maji unaotokea misitu ya Kazimzumbwi Kisarawe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dah!Wewe bro wewe.
Yule mrembo si itakua kama shamba la miwa karibu na shule?Sitaki presha ujue😀😀😀.
Nakusalimia bro.
😂😂😂😂😂 dah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Ee aunt changamka kama alkasusu usiwe nyuma kama uji wa mgonjwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mtu aliye na lips zake aje tuyajengeKwakuwa umepewa mguu na shogayo kapewa mkono na dada SA kapewa kifua.
Ushauri, ziungajnsheni picha hizo mjipatie kitu kamili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Shwaini zako 😀Suuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki za emojZile za emoj mbona utazipata hadi uzichoke
#emojhaitoki
Unacho ongea ni kweli. Kuna muda nakuwa hata sina sababu ya kuwa Mbeya kisa tu joto la Dar.Tunapambana
Ila Hali ya hewa Ni nzuri Sana tunaipenda..kasheshe Ni muda wa kuoga tu
Mimi ukinipeleka dar nadhani siwezi kuishi
Sent using Jamii Forums mobile app
.[emoji847] usichelewe
Sasa lips za nini?Mimi mtu aliye na lips zake aje tuyajenge
Viungo vingine vyote ninavyo.
Kama huna lips zake tafwadhari usinifwate[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja kwanza nikukomalie
Ndio nakuja hivyo