Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Ndiyo umtafute umrudishe sasa, kumbuka tuligawana mimi kazi yangu ilikuwa kumtafuta cute b na kumrudisha hivyo mie naendelea na kazi yangu tu.Mara ya mwisho alisema Yuko busy na Mambo ya kifamilia na akaamua kujiweka mbali na mitandao
Na hakuwepo Dom kipindi hicho..ila alisema soon atarudi
Lol nimemsubiri hadi Leo[emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimekuelewa Mzee wa pwani. Nashukuru sana kwa uwepo wako hapa maana najifunza vitu vingi sana kutoka kwako.
Mimi mtu aliye na lips zake aje tuyajenge
Viungo vingine vyote ninavyo.
Kama huna lips zake tafwadhari usinifwate[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
KD nishaachana nayeDeal na kd kwanza
Mtaka vyote kwa pupa hukosa yote
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mimi mtu aliye na lips zake aje tuyajenge
Viungo vingine vyote ninavyo.
Kama huna lips zake tafwadhari usinifwate[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni kwaajili ya wanachama tu 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si kuna emoj jamani
Sijui nikupe ile ya six packs [emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si kuna emoj jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendaaaHizo ni kwaajili ya wanachama tu 😀
#toakamaunavyopewa
#nipenikupe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendaaa
Sasa lips za nini?
Ngoja nikasake faida za kiss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji26][emoji26][emoji26]hivi wewe hujammiss??Ndiyo umtafute umrudishe sasa, kumbuka tuligawana mimi kazi yangu ilikuwa kumtafuta cute b na kumrudisha hivyo mie naendelea na kazi yangu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitashukuru sana ankali
Mbona nimesimama hapa njeView attachment 1422925
Si utafika kesho
Aisee!!Nilipita mitaa hiyo jioni hii, nilikuta kundi kubwa la watu mahali hapo, nikaambiwa ameonekana mamba kwa mara nyingine.
Na bahati mbaya leo mto umefurika, kwahiyo sidhani kama kuna msaada wowote utakaopatikana toka serikalini
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]babe niwache kwanzahuku na huko surname yake sistim [emoji23] [emoji23] [emoji23]