Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Marahaba mama yangu kipenzi.
Kukudekeza tunashindwa kisa "corona beibe" kachukua nafasi.
Kwakuwa nakupenda mama nitakujali, lazima nikae mbali na wewe[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
😅 😅
ankoo, nimeskia kuumia badala ya kufarijika jamani.! Badala ya kunipa maneno matamu ndo kwaanza umenipea maneno magumu hivyo?

Nimtafute anko mwingine??
 
[emoji28] [emoji28]
ankoo, nimeskia kuumia badala ya kufarijika jamani.! Badala ya kunipa maneno matamu ndo kwaanza umenipea maneno magumu hivyo?

Nimtafute anko mwingine??
Ankoo nimejitahidi mno kuto kukutenga huku machozi yananibubijika utadhani ndio siku unaenda kuanza maisha ya ndoa na mwanaume mtukutu...
Nitafanyaje sasa Ankoo! Nikukumbatie kwa faraja? Corona je? Nakupenda mamaangu, usitafute Anko mwingine, hili nalo litapita, sawa mama?
Cheka basi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]tototoooo....ajigijigijiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…