Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Ankoo ni mhenga una watoto wako chuoHivi vitoto vinachezea hela zetu kwa mambo ya kijinga jinga sana.
Wamekaa nyumbani yaani ukiingia ghafla ndani unashindwa hata kuwa tofautisha wa shule ya msingi ni yupi wa sekondari yuko wapi na wa chuo ndio takataka kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ankoo ni mhenga una watoto wako chuo
Simu yangu ilikuwa inanizingua ankoo
Ankoo kumbe unatutisha bure tu. Kaka yangu wa tatu kuzaliwa ana mtoto amegraduate mwaka jana na ameshakula na ng'ombe na mjukuu juu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbuka mwaka jana tulibishana sana,nilikuambia mimi ni mkubwa kwako.
Ndiyo, yupo mwaka wa kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante anko
Imagine napika tu hata sijamaliza mambo yamejaa, mpaka huwa nakata tamaa jamani.! Maana naachwa kila Leo.!Kwa msaada wa robot
Unanisuta? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ankoo kumbe unatutisha bure tu. Kaka yangu wa tatu kuzaliwa ana mtoto amegraduate mwaka jana na ameshakula na ng'ombe na mjukuu juu[emoji16][emoji16][emoji16]
Hongera mpendwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbuka mwaka jana tulibishana sana,nilikuambia mimi ni mkubwa kwako.
Ndiyo, yupo mwaka wa kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
😅 😅 😅Ankoo nimejitahidi mno kuto kukutenga huku machozi yananibubijika utadhani ndio siku unaenda kuanza maisha ya ndoa na mwanaume mtukutu...
Nitafanyaje sasa Ankoo! Nikukumbatie kwa faraja? Corona je? Nakupenda mamaangu, usitafute Anko mwingine, hili nalo litapita, sawa mama?
Cheka basi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]tototoooo....ajigijigijiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] huishi kujitetea anko, sawa bwana umeshindaUnanisuta? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi nilichelewa Anko, hata huyo ilikuwa ni kwa mbinde hasa,hata haivutii kumtambulisha kama ni wa kwanza maana wawili niliowalea wamemaliza muda na ni waajiriwa.
Sent using Jamii Forums mobile app