Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

credit: ayubu madenge from twitter
Ni mtoto wa professor na kaka wa waziri mkuu.Kwa mapenzi yake kwa taifa lake akaacha masomo chuo kikuu cha Harvard akajiunga na jeshi.Akiwa na miaka 21 tu alikuwa amekwisha pigana vita nyingi.Yoni Netanyahu aliongoza makomando kuokoa watu waliotekwa kwenye ndege iliyoletwa Uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…