Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Sawa moud nitaangalia hali itakavyokuwa keshoMkuu kwanza nikupe pole, kisha nikupongeze kwa uamuzi wako wa kijasiri kututangzia ndugu zako. Lakini inaonekana tatizo lako ni mafua ya kawaida
Ila naomba nakushauri.
Kama unadhani kwa hakika ni kweli umepata maambukizi, jitokeze mbele ya matabibu wanaohudumia maambukizi mapya ili upate vipimo na kisha utenganishwe na
jamii inayokuzunguka.
Hii itakusaidia wewe na wapenzi ndani ya familia yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
thanks ila uache kujitisha..... si kila homa ni coronaYee sunbaenim
Ahsante Cole
Homa nyingne malaria, usije ukajipeleka mwenyewe kalantin kabla ya utabibu wa doctor utazua balaa,thanks ila uache kujitisha..... si kila homa ni corona
[emoji23][emoji23][emoji23] sawathanks ila uache kujitisha..... si kila homa ni corona
Mungu atupe afya na uzima...
Hahaha sawaHoma nyingne malaria, usije ukajipeleka mwenyewe kalantin kabla ya utabibu wa doctor utazua balaa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu awaponye wagonjwa wote..
Amani itawale siku yetu
teh teh[emoji23][emoji23][emoji23] sawa
Hehehehhee akhu ntapoteza marafiki mieTembeza ungo tu wakuchangisha dk 10 hazitofika, wewe wa kishua tu [emoji2]
Shukrani sanafanya hivi.....
binafsi natumia hotspot siku zote
- unganisha hotspot kwenye pc
- tafuta sofware mfano Internet dowload manager
- tafuta browser mfano chrome, mozilla, torch browser
- shusha mzigo
- kama ni 4G, ndani ya saa moja utashusha episode takribani 40
[emoji23][emoji23][emoji23] nimemiss messi na barca yake kuchapwa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nini sasa Binti Mpole