Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Alyeikua asalaam ndugu yangu.Asalaam Alyeikum
Walalamikaji wakubwa ni team lockdown wakisaidiwa na wakenya
KweliAnayetaka Lockdown ruksa ajifanyie mwenyewe na familia yake wengine waachwe wagange njaa mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Alyeikua asalaam ndugu yangu.
Me tooPamoja na lawama zote, naomba mnisamehe, mi namuunga mkono mia kwa mia mh rais.
Tupambane na korona katika hali kama ilivyo.
Ushauri wangu kwa serikali waweke ruzuku kwenye vifaa vya kujilinda kama barakoa na vitakasa mikono ili kuwepo na bei wezeshi kwa kila mtanzania