moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mliotoka kazini poleni sana
Ok vizuri!Alhamdulillah
Huku maisha yanaendelea kama kawa.Poleni wakulima wote
Muda wa draft za futari umewadiaaaaaaaaOk vizuri!
βββUkiwa unaongea na mtu, ongea huku ukitaja jina lake, hii itasaidia kupendwa zaidi na mtu huyo.
Mungu awaponye wagonjwa wote...
Mungu atupe afya na uzima...
Jioni iwe njema na ya amani kwetu wote
ππππ nimekumbuka mbali, wacha nicheke tuMuda wa draft za futari umewadiaaaaaaaa
Amani na upendo wetu vidumu
[emoji23][emoji23][emoji23]ππππ nimekumbuka mbali, wacha nicheke tu