Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
AiseeUnapopiga chafya, unakufa kwa sekunde. 49. Unapotekenywa hucheki, bali ni itikio na kupaniki (panic response). Huwezi jitekenya mwenyewe kwa sababu mwili hauhisi hatari yoyote. Kawaida enzi za zamani kutekenya ilitumika kama adhabu.
Naunga mkono hoja
Ni kigumu sana kutekelezeka
Hapana ndugu
Hapa jamii ya Ki-Asian hamuwezi kuelewana. Wenyewe wanakuambia maji wa uvuguvugu ndio mpango mzima.Kunywa maji ya baridi sana mapema asubuhi husaidia mwili wako kufanya kazi vizuri hadi asilimia 25.
Safi bro, vipi kwema?