capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ukiwa baba lazima uwe na msimamo, kama parachichi halija rojoleka kwanini lisitumike?!!
Wamekosa nyumba kwa ujinga wao wanaingilia maamuzi ya Mzee.
Ndio wenyewe 👌Jasmini
Denge
Mzee Raza
Bukheti (sina uhakika)
Hey ..Hello Coco
Nimekumiss pia CocoHey ..
Nmekumiss sana Malkia wangu!
Ni nini nakufanya Busy namna hii?Nimekumiss pia Coco
Majukumu tu ya hapa na paleNi nini nakufanya Busy namna hii?
Mkuu hebu jaribu hii tiba,maana Mimi nilikutikana na hali hii Mafua na kikohozi kigumu kwa wiki ya kwanza,baadae nikafuatiwa na madonda ya koo,kwa kweli nilijua ni Covid maana wiki tatu kabla nilikuwa mwanza jijini,ila kwa sasa koo haliumi,ila hari ya mafua ipo kwa mbali
Tiba iliyonisaidia ni unga wa mlonge pamoja na juisi ya tangawizi kutwa Mara tatu hadi utakapopata nafuu,ila within a wiki unaweza recover
Pole sana mkuu,ila khali ikizidi sana nenda hospital,
Sent using Jamii Forums mobile app
ANkoooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa baba lazima uwe na msimamo, kama parachichi halija rojoleka kwanini lisitumike?!!
Kama ni nyumba na wenyewe wajenge za kwao wasitegemee za urithi...
#nguvuyakonokonokukitanda...
#hakunafenesilenyemiibakwakonokono...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku salama pia bro, tunaendelea vyema kabsa..Asante bro. Heshima hiyo ikurudie saba mara sabini.
Huku kwema sana. Mgeni wetu naona ni kama vile ameanza kutambua kwamba ugeni wake hautakiwi na umegeuka mzigo kwa wenyeji. Dalili za kufungasha virago vyake zimeanza kuonekana. Tuombe aondoke aende zake kama alivyokuja. Huko kwako vipi? Hao Wasukuma wanasemaje? Hujaona vituko vipya wakifanya wakati huu wa Korona? Tushirikishe pulizi [emoji16]
Kwema Prisca?kina ankoo hawajambo hapo??Wanauzi nimewawekea dawa hio toka kwa digba