Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Vipi hali bro?Siku imeendaje?
Glass imetoboka ama
πππππ
Vp bradhaVipi hali bro?Siku imeendaje?
Kimtindo tu bro, vipi mishe?Vipi hali bro?Siku imeendaje?
Shwari, mambo ni vipi?Vp bradha
Umeniuliza? πGlass imetoboka ama
Mungu atusaidie shem hili janga liishe maana dah!Huku wameweza ku-flatten the curve japo hot spots zinaenda zinahama hama. Kama mambo yasipobadilika Mei 1 tutaachiliwa japo kwa tahadhari na kwa hatua. Hata madukani sasa hali imeanza kurudi sawa mpaka jana nimeweza kununua mabunda ya barakoa dukani - bidhaa adimu ambayo kuipata ilikuwa shida sana.
Tuombe Mungu Aendelee kutulinda shem. Huko nyumbani kama kweli zile video za Amana Hospital ni za kweli basi hatuko siriazi hata kidogo....
View attachment 1429020
Siku imeenda vizuri tuu.Kimtindo tu bro, vipi mishe?
Nawewe unapata ugumu au ulishazoea?πππππππ
Hahah! ndioUmeniuliza? π
Fresh kakaShwari, mambo ni vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Viti vya bank, sio mbaya nimeambulia japo location"
Umenishekesha sana leo asubuhi
Ugumu bado upo bro. Hahah!Nawewe unapata ugumu au ulishazoea?ππ
Jambo jema hiliSiku imeenda vizuri tuu.