Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wetu wa karibu hutambulika nyakati za shida na mateso, binti ameinuliwa kuwa faraja kwa tulio kosa faraja.
Mama zetu huko walipo wanapumzika kwa amani maana hawakuacha deni duniani... Kazi yao waliimaliza kwa wakati.

Tuwaenzi kwa mema yao, japo akina mama (wanawake) hawana kawaida ya kukosea kulea watoto.

Mungu azidi kumpumzisha mama Ngosha ze Don [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…