Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Basi nililifuta leo nimekukumbuka nikalivuta upya nimepiga mpaka hapa[emoji23][emoji23][emoji23] usinikumbushe mimi..... najihisi nimekwamaView attachment 1432765
Hamjambo wenzangu
Weeeh!! Upo vizurii, nimeishia hapo expert....nikiona American inanichosha nahamia kwengine,Basi nililifuta leo nimekukumbuka nikalivuta upya nimepiga mpaka hapaView attachment 1432842
Tanteeeeh nxhakaribia hivi uwiiiiiiihVyema mkuu[emoji120][emoji120]
Karibu sana kwenye uzi wetu pendwa
Leo nimebadili mbinu nimeyabana marobot mpaka yatakua yanashangaa hahahahaWeeeh!! Upo vizurii, nimeishia hapo expert....nikiona American inanichosha nahamia kwengine,
[emoji23][emoji23][emoji23]numby bhana...umeanza na kete ipiii.?Leo nimebadili mbinu nimeyabana marobot mpaka yatakua yanashangaa hahahaha
Zile za kati. Mwanzoni nilikua naanza na za pembeni hapo game gumu ila za kati game linafunguka mapema tu[emoji23][emoji23][emoji23]numby bhana...umeanza na kete ipiii.?
Changamoto ya upumuaji eeh!?
RIP DC Mmanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1432824
Changamoto ya upumuaji eeh!?
RIP DC Mmanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1432824
[emoji2088][emoji2088][emoji2088] usiniambie ankooo....sasa atakuwa wapi? Mbona mimi ananiaga anakuja kushinda huku.???
Shikamoo The don.
We mrembo hulali [emoji1][emoji1]
Nzuri bwana Moud, mapambano yanakwendaje.?