Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Sawasawa,,,Ushirikiano wa wizara ya Afya na vyombo vya habari ni muhimu ili kufanikisha upatikanaji taarifa sahihi hususani katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya janga la virusi vya Corona.
Hatari..Mungu atulinde....Just thinking loud wengi wao wenye hela,afya mgogoro wale wa kutibiwa hospital kubwa mamton saiv maskin wote tunatibiwa hosp za hapa hapa nchini. Mwaka huu mbaya sana
[emoji2] unbeliavable(6×9)+(6+9)=69
Inasikitisha sana...Inakadiriwa kufikia mwaka 2030 zaidi ya ajira milioni 20 zitachukuliwa na roboti/mashine, Mwanzilishi wa Alibaba na bilionea Jack Ma yeye anaamini maendeleo ya roboti/mashine yatatengeneza ajira kwa kile anachoamini kuwa binadamu ana akili zaidi kuliko kitu chochote kile duniani.
Hehe, nilkuwa nangoja kibali[emoji23]Hahahaha rudisha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Suti.