Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hiyo dawa ingekuwa imetengenezwa na mzungu hata kama ni tapeli sasa hivi tungekuwa tunainywa.Tatizo ni kuaminiana hatuaminiani
Halafu nina muda mrefu sijalimwa iginoa listi. Nilikuwa nimezoea enzi zile nikimchokoza malkia ISIS na kidokezo cha the one and only one mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai nachezea iginoa listi kwa mwezi hata mara mbili. Na kwa mwanaharakati BAK nako nilikuwa sikawii. Miss those good ole days [emoji16][emoji16]Nakutupia ignoa listi kwani shngapi
Na Korona hii ndiyo imepigilia msumari kabisa. Wanasema maroboti yangekuwa ndiyo yanafanya kazi madukani huko na kwingineko wala kusingekuwa na mtafaruku hivi na sasa watu wa Artificial Intelligence (AI) wanasema kwamba haitachukua zaidi ya miaka mitano kabla maroboti hayajaanza kuendesha masupamaketi huko na kwingineko.Inakadiriwa kufikia mwaka 2030 zaidi ya ajira milioni 20 zitachukuliwa na roboti/mashine, Mwanzilishi wa Alibaba na bilionea Jack Ma yeye anaamini maendeleo ya roboti/mashine yatatengeneza ajira kwa kile anachoamini kuwa binadamu ana akili zaidi kuliko kitu chochote kile duniani.
Esta ni jiniazi[emoji2] unbeliavable
๐ ๐ ๐
Thenki Godi binadamu hamuwezi kufanya hivi vinginevyo tungeisoma namba"Komodo jike" ana uwezo wa kujitungisha mimba mwenyewe bila kuhitaji dume kupitia kitendo kinachoitwa Parthenogenesis. Akifanya hivyo mara nyingi huzaa dume, inaelezwa hufanya hivyo ili kuongeza kizazi zadi hasa pale anapokosa dume kwa muda mrefu.
Duh!! mambo gani hayo ya ajali kazini๐๐
Haishangazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mbu jike pekee ndio wanaong'ata wanyama (binadamu), Mbu dume hula majani.