Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Tamu sana hii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaogopa koona
Duhii hatari inazidi
SawasawaIdadi ni ileile tu sijaona update mpya
Ila zingatia sana ushauri wa kitaalam
Vaa barakoa
Nawa mikono na maji tiririka na sabuni ama tumia sanitaiza
Ukiona dalili wahi hospitali.
Epuka safari zisizo na lazima.
#halisiopoa
Labda kama maana ya upole imebadilika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa ule ubishi wa juzi yaani wewe ndo kocha.
Mpole mimi tu