Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
carbamazepine bryson thomas anakuita huku[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1434552
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaniii mnaionea man u
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha ndugu zake na bro Shimba ni hatari hawa
Kicheko chako kilimlenga SYB umesahau kuwa faraja yako ya nyumbani ni msuku...
Kwa upendo tu nikakuomba ugeuke nyuma umuone Babe S [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi kwako humu kuna team bro don haipendi huku anaipenda maana kutwa kuwakalia koon wasukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kuna mtu anajua utaratibu wa kubadili kabila aje PM faster. This is too much. Kuna siku kabisa huwa naweka azimio kuwa leo sikomenti cho chote lakini nikiona Wasukuma wanashambuliwa roho inaniuma najikuta nishaingia kilingeni. Naomba nihamie hata kwa @Wanyakyusa, Wandali, Wazaramo, Wakinga hata kwa Nshomile. Niko siriazi [emoji16]
Kila mtu anayepumua wakati anafaa kumshukuru Mungu sana.Inapendeza hasa kipindi hiki cha maradhi yanayoshika kasi ya shida ya upumuaji ni muhimu kushukuru kwa uzima.
Kila mtu anayepumua wakati anafaa kumshukuru Mungu sana.Inapendeza hasa kipindi hiki cha maradhi yanayoshika kasi ya shida ya upumuaji ni muhimu kushukuru kwa uzima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama kuna mtu anajua utaratibu wa kubadili kabila aje PM faster. This is too much. Kuna siku kabisa huwa naweka azimio kuwa leo sikomenti cho chote lakini nikiona Wasukuma wanashambuliwa roho inaniuma najikuta nishaingia kilingeni. Naomba nihamie hata kwa @Zöe, Saint Anne, Khantwe hata kwa Nshomile. Niko siriazi [emoji16]
View attachment 1434716
Sahihi kabisaKila mtu anayepumua wakati anafaa kumshukuru Mungu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaa!carbamazepine bryson thomas anakuita huku[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1434552
Fulu magego wakati we hata kabila lako halijulikani. Kazi kucheka makabila ya wenzenu tu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Hahahaha ndugu zake na bro Shimba ni hatari hawa
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaa!
Khaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngosha bana. Huku zimejaa mask za vitenge daah daahFulu magego wakati we hata kabila lako halijulikani. Kazi kucheka makabila ya wenzenu tu [emoji24][emoji24][emoji24]
Kama kuna mtu anajua utaratibu wa kubadili kabila aje PM faster. This is too much. Kuna siku kabisa huwa naweka azimio kuwa leo sikomenti cho chote lakini nikiona Wasukuma wanashambuliwa roho inaniuma najikuta nishaingia kilingeni. Naomba nihamie hata kwa @Wanyakyusa, Wandali, Wazaramo, Wakinga hata kwa Nshomile. Niko siriazi [emoji16]
View attachment 1434716
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kunywa maji bado ni changamoto sana kwangu. Ila sasa hivi najitahidi kila asubuhi ninaweka jagi la lita 2 mezani kabla ya kwenda kulala niwe nimeyamaliza. Ila nimejikuta siku nyingine naongeza hadi zinafika 3.Kama huwezi kunywa angalau bilauri 4 za maji basi anza na moja kisha ongeza taratibu kadri mwili wako unavyomudu.