Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro inabidi uende kiafrika zaidi, tafuta huko kifumbasi, majani ya mjohoro, majani ya mu40 na tangawizi, changanya jifukize
Achana na hao watu we jifanyie yako
Mjohoro ndio kila kitu, majani yake ya kichemshwa hutumika kumkanda mtu aliye vunjika au kuteguka. Ukifukizwa mchemsho wa majani na mizizi yake malaria baibai.Ukichemshiwa mizizi na magome yake hakuna cha henia wala homa za (amoeba/typhoid) matumbo vyote kwisha habari yake.
Turudi asili yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisukuma, Mashemwji ndio wanafuata mahari sasa sikumaliza vipi na mliacha ndama tu kwenye zizi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilete ushahidi hapa?

Acha hizo shemeji...

Kama umejipanga sema tuje tumalizane ishu hii iishe kabisa.

baby s tulikuonya kuolewa na Mpare. Ona sasa hata kuja kutuona tu huruhusiwi. Pole sana ila uliyataka mwenyewe....[emoji16]
 
Kwa Kiingereza mti huu unaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…