Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpaka January... wasambaze faster kabla ya uchaguzi wetu October...



Cc: mahondaw
Mkuu unaongelea nini? Sisi si hata kufanyiwa majaribio hatutaki tunasema ni ubaguzi? Tuwaache jamaa wahangaike. Hata hiyo January hiyo chanjo ikithibitishwa bado kuna kujenga lab zenye capacity ya kutosha kuizalisha kwa wingi na mifumo ya usambazaji. Kutokana na demand itakavyokuwa kubwa mpaka ikatufikie sisi huku itakuwa mwishoni mwa 2021. Hii ngoma bado mbichi kabisa....
 
NYOTA wa Juventus, Paulo Dybala amepima na kukutwa na virusi vya ugonjwa Covid-19 kwa mara ya nne katika wiki sita kulingana na ripoti.
 
Huku sijambo. Najitahidi sana. Gonjwa linatisha hili japo sipendi lockdown. Huko ulipo mzima?
Huku salama. Lockdown imeisha leo japo ni phase 1 lakini sasa tunaweza kutoka nje japo kwa tahadhari sana. Baadhi ya maduka yameanza kufunguliwa japo baa, mahoteli, salons na vitu vingi bado. Ni kama vile wanatesti zali kuona itakuwaje. Na tahadhari zingine ziko pale pale. Huko naona moto ndo kwanza unafukuta. Mungu Atusaidie aisee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…