WHO inasema kwamba "hadhi ya mfu, tamaduni zao na uamaduni zao za kidini, pamoja na familia zao vinapaswa kuheshimiwa na kulindwa wakati wote ".
Lakini huku mkanganyiko ukisambaa, hili limemeonekana kuwa jambo gumu sana katika baadhi ya maeneo ya dunia.
Merwin Terán, mkuu wa muungano wa wafanyabiashara za huduma za mazishi, aliiambia BBC kuwa hali "imekua si hali" katika ijimbo la Guayas, ambako vifo vya where Covid-19 d vimepita 10,000 katika kipindi cha wiki kadhaa
Ecuador ni nchi ya pili iliyoathiriwa zaidi na korona katika bara la Amerika Kusini, nyuma ya Brazil. Mifumo ya afya imeshindwa kuhimili shinikizo la ugonjwa, majeneza na miili ya watu waliokufa imekua iliachwa kwa siku kadhaa kwenye mitaa kutokana na kufurika kwa hifadhi za maiti.
Ecuador ni nchi ya pili iliyoathiriwa zaidi na korona katika bara la Amerika Kusini, nyuma ya Brazil. Mifumo ya afya imeshindwa kuhimili shinikizo la ugonjwa, majeneza na miili ya watu waliokufa imekua iliachwa kwa siku kadhaa kwenye mitaa kutokana na kufurika kwa hifadhi za maiti.
Hospitali zimekua zikipeleka miili ya watu katika karakana ambazo hazina viyoyozi na miundombinu inayofaa katika kuhifadhi maiti.
"Hata sisi, ambao tumezowea kushuhudia hali halisi ya kifo , ni vigumu kuingia katika karakana kutambua mwili. Maiti zilikua zinapasuka na kutoa vimiminika baada ya saa 24 ," anasema Terán.
Kwingineko , picha za makaburi ya watu wengi mjini New York, katika jiji la Brazili la Manaus au Istanbul ziligonga vichwa vya habari.
Lakini ukweli ni kwamba ukatili wa kifo cha virusi vya cororona haupaswi kusababisha watu waliokufa kwa corona kutoiagwa kwa hadhi ya utu walionao, inasema WHO -na kuwaruhusu wapendwa wao kuwa na fursa ya kuomboleza.
Maafisa wanapaswa kushughulikia ipasavyo kila hali kulingana na kwa misingi ya utofauti wa kisa na kisa cha corona, kutathmini uwiano wa haki za familia ya marehemu , haja ya kuchunguza sababu ya kifo, na hatari ya kusambaza maambukizi ," linasema shirika hilo.
Pombe inapotumika wakati wa matumizi ya dawa uweza kusababisha dawa kukaa muda mrefu mwilini ivyo kulita athari nyingi Zaidi au hupunguza muda wa dawa kukaa mwilini ivyo kushindwa kufanya kazi yake.
Pombe inapotumika wakati wa matumizi ya dawa uweza kusababisha dawa kukaa muda mrefu mwilini ivyo kulita athari nyingi Zaidi au hupunguza muda wa dawa kukaa mwilini ivyo kushindwa kufanya kazi yake.
Madhara kama kujisika kichefuchefu, kutapika,kuvuja kwa damu ndani ya mwili, kushnda kupumua vizuri uweza kutokea pale unapotumia pombe unapokua kwenye matumizi ya dawa.
Baadhi ya dawa mbalimbali kama z kuliza kikoozi (cough syrups),mafua n.k. huwa nakiasi cha pombe kama moja ya ingredient yake ivyo unapotumia pombe wakati unatumia dawa hizi athari zinazousisha ubongo uwa nyingi kama kusinzia n.k.
Matumizi ya pombe wakati unatumia dawa za kundoa maumivu kama asprini na ibuprofen huweza kusababisha vidonda vya tumbo, unapotumia na Panadol ini hueza kuatharikia (hepatotoxicity)hata kwa kwa dose kidogo tu ya Panadol.
Matumzi ya pombe na baadhi ya antibiotic kama ethryomycin,azithromycin,doxycycline and metonidozole, mfano flagyl uweza kusababisha kuchefuchefu, kutapika,presha kushuka na hatimie kifo kama hatua za haraka zisipo chukuliwa.
Dawa za maumivu zenye asili ya opioidi (opioid analgesics) kama codein, methadone zinapotumika na pombe, athari za dawa huwa kubwa hasa zinazoathari utendaji kazi wa ubongo (CNS effects) pia usababisha kushindwa kupumia vizuri.