Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Haya kamanda
Haya ni matunda gani bro?Tunaendelea kuzalisha maliView attachment 1441729View attachment 1441732
Halafu wazungu wakitudharau tunalalamika. Kwa kweli acha waendelee kutudharau tu.
Aisee, hatari hii.Angalia hii
View attachment 1441995
Nimewahi kuangalia documentary iliyogusia hili swala.Pia wanawake wanavyochapwa wanakua na alama za fimbo zinazobaki mwilini(ni kama damu inakusanyika hivi) na mwanamke mwenye maalama mengi anajiona yeye ndiye the best.