The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
AhsanteSanitizer Mwakibila
Haswa.Tamaduni ya uwonevu kwa Wanawake.
Wanayo ndioHivi samsung nao wana logo? Kama ilivyo kwa iphone na ile logo yao ya apple.
Me sijawahi kuiona mkuu.Kama unapicha ya hiyo logo tupia hapa.Wanayo ndio
Nafikiri unashindwa kutofautisha kitu kimoja. Kwa wazungu hapo hakuna anayelazimishwa wanafanya hivyo kwa kupenda wao wenyewe ila waafrika hapo wanawake wanalazimishwa kupigwa hivyo viboko hakuna anayependa na hawawezi kukataa.
Kiukweli kwa mila kama hizo sijawahi kujivunia kuwa muafrika na sitakaa nijivunie. Waafrika wengi ni washenzi sana na naomba tuendelee kudharauliwa hadi mwisho wa dunia.
Huu uzi ni kokoro... Una wataalamu wa kila fani,Mungu ni mwema tunapendana na kuheshimiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Salam za asubuhi
Naimani hii ulishakutananayo mkuu? Japo ilikuwa ni zamani lakini ndio ilikuwa Logo yake hiyoMe sijawahi kuiona mkuu.Kama unapicha ya hiyo logo tupia hapa.