myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wakulima poleni
Sawasawa...“Maisha ni mshumaa uso mkesha.” Ni methali ya Kiswahili, maana yake kama mshumaa ulivyo maisha hayadumu.
👍 👍Mama ni mzazi. Mama ni mlezi. Mama ni mwalimu. Mama ni mbeba uhai. Mama ni mbeba mimba. Mama ni mtia moyo. Mama ni mfariji. Mama ni mshauri. Mama ni mzaa chema. Mama ni mzaa mkubwa. Mama ni nguzo. Mama ni mchakalikaji.
Kweli....Tufikirie pamoja maswali ya kujiuliza ili tufanye majaribio (Experiments).
Duh!Hata mtoto mdogo akishika wembe vibaya utamkata maana hakuna ishara ya kumuonya kama vile ambavyo stovu ya kupikia itamfanya aungue, akimbize mkono na siku nyingine hatarudia tena. Hapo anakuwa amejijengea tabia kwa sababu ya yale maumivu aliyoyapata.
Heshima yako mkuu