Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila usiku, mara 3 hadi 5, au kila baada ya dakika 90 unaingia kwenye hatua ya usingizi wa ndoto. Unapoingia kwa mara ya kwanza, inakuchukua muda mfupi sana, muda wa usingizi wa ndoto ukiongezeka taratibu na hatua ya mwisho ya usingizi wa ndoto inaweza kuchukua hadi nusu saa.
 
Ishara Za Kukosa usingizi Wa Kutosha



Ikiwa unapata usingizi kwa pungufu ya saa 8 kwa siku, uwezekano ni mkubwa sana kuwa unakosa usingizi wa kiwango cha kukutosha. Na kwa bahati mbaya, inawezekana kuwa hata hujui kukusa huko kwa usingizi kunakuathiri kwa kiwango gani. Si rahisi sana kujua kuwa unaathiriwa na tatizo la kukosa usinizi wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…