MJUE MR. P MZEE WA MIAKA 101 ALIYEZALIWA KIPINDI CHA MLIPUKO WA UGONJWA WA MAFUA YA HISPANIA KISHA AKAPONA CORONA
Alizaliwa mwaka 1919 katika mji wa Rimini kaskazini masharik mwa bahari ya Adriatic
Kipindi anazaliwa ndio kulikuwa na mlipuko wa mafua ya Hispanic yaliouwa mamilion ya watu zaid ya watu million 50 lakin yeye hakufanikiwa kuyapata
Pia alipigana Vita ya pili ya dunia
Na wiki iliyopita alipatwa na ugonjwa wa corona na sasa amepona licha ya kuwa ugonjwa huo umeua maefu ya watu nchini Italy wengi Wao wakiwa wazee