Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Hili dude kulikurong'onyoa tu nyama za ndani ni utamu tosha,yaani mtu unashiba kabisa...
Nime ya miss maisha ya ulaji konokono mwee!!!
View attachment 1450319
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama haujapigwa siku nyingi (hapo ni masaa kadhaa yaliyo pita umetoka kulia) una pigwa.KUMBUKA: Kama kunahatua nimesahau ongeza na wewe ili wasio na malezi haya wapate kujifunza hasa kizazi cha hivi karibuni
Nimeicopy mahali