Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

njia zingine unazoweza kutumia ni hizi hapa

1. kushugulisha mwili mara kwa mara

2. kufanya mazoezi mepesi ya mwili

3. kubadilishana mawazo na watu wanaokuzunguka

4. tenga mda kufanya vitu vinavyokupa furaha

5. kusikiliza musiki na kufurahi.
Numbiee na sie tukipata stress tunakonda na kubaki kichwa huwa ni nn ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama umenuna kasikilize hotuba ya magufuli...
habari yako mkuu
watoto hawajambo?
huku jamvini kuna leta furaha sio mnuno. niko poa namshukuru Mungu bado yanaenda hivyo hivyo. wote wazima sijui wakwako ?

hotuba ya mzee wetu naogopa kuwa na kiherehere kwa sasa wacha amalize nitaisikiliza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huku jamvini kuna leta furaha sio mnuno. niko poa namshukuru Mungu bado yanaenda hivyo hivyo. wote wazima sijui wakwako ?

hotuba ya mzee wetu naogopa kuwa na kiherehere kwa sasa wacha amalize nitaisikiliza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru, mke wangu amefanikiwa kuzaa watoto watano kwa round moja kama mimba ya paka.....
nipo hapa nawapikia uji wa sembe
 
Mtu umechoka, stress kibao kichwa kinawaka moto... Unaamua kuja hapa kijiweni, una kutana na maongezi ya hawa watu:-
SHIMBA YA BUYENZE vs Khantwe ... Ni mwendo wa malumbano tu japo ni watu wanao pendana sana

Khantwe vs Cole Williams maswali yao na majibu havioani kabisa utadhani ni wana ndoa walio fumaniana

Daemusin vs SHIMBA YA BUYENZE mwanzo mwisho ni kejeli kwa wasuku [emoji3][emoji3][emoji3]
Numbisa vs SHIMBA YA BUYENZE za uso ni kawaida kwao, kama kuna amani basi binti mpole ni kucheka tu

Kweli tiba sio lazima kuonana na daktari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barani Afrika kila kitu kinawezekana.
Nadhani wewe ni mwenyeji kwenye bara hili, kila kitu unakijua
Kwani yeye alikuwa wapi?
Si alikuwa naibu waziri?.

Siasa na Afya zinachanganywa.
Kuna Mambo ya kuchanganyachanganya na siasa ila si afya.
Halafu afya haina kujaribujaribu, Kama hujui hujui tu.
Wakubwa wakubali tu kuwa hawajui..huo utaalamu hawana.
 
nashukuru, mke wangu amefanikiwa kuzaa watoto watano kwa round moja kama mimba ya paka.....
nipo hapa nawapikia uji wa sembe
hongera mkuu, wote jinsia moja au ni jinsia zote unazo ? daaah sijui hali ilikuaje kuanzia mimba, kujifungua na kuanza kunyonyesha na malezi yake ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe mzee uliwahi kuajiriwa na kampuni zinazozalisha magazeti?

unakaa zako nje wiki 3, ukirudi unakuja na hadithi nyingiii kama babu bomba.
una habari ya kwamba babu yetu myoyambendi ameteuliwa nyadhifa ya naibu waziri wa afya?

poleni wagonjwa wa corona
poleni sanitizer
poleni ppe
poleni manesi
ambulance zirudi salama
 
Huyu mama alipimwa akiwa na afya njema akaonekana na hiyo Corona.
Akajiweka kizuizi cha nyumbani, huko nako amepimwa mara 2 akaonekana negative, juzi alipimwa mara ya 3 majibu hayajatoka lakini anasema alijitibia kwa madawa ya asili baada ya kutumia majani ya kiasili.
Sasa huyu mama alijuaje Kama anayo wakati vipimo wamesema hakuwa nayo kipimo kilikuwa na makosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya hapa chini[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Ugonjwa huu wa corona ni vita kama vita nyingine, wakati unaanza nilisema siwezi kuruhusu lockdown, imagine unafungiwa ndani hupati hata nafasi ya kuonana na Mkeo?, unafungiwa ndani eti usitembee usiku kana kwamba corona inatembea usiku tu, nikasema hapana” -JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…