Mtu umechoka, stress kibao kichwa kinawaka moto... Unaamua kuja hapa kijiweni, una kutana na maongezi ya hawa watu:-
SHIMBA YA BUYENZE vs
Khantwe ... Ni mwendo wa malumbano tu japo ni watu wanao pendana sana
Khantwe vs
Cole Williams maswali yao na majibu havioani kabisa utadhani ni wana ndoa walio fumaniana
Daemusin vs
SHIMBA YA BUYENZE mwanzo mwisho ni kejeli kwa wasuku [emoji3][emoji3][emoji3]
Numbisa vs
SHIMBA YA BUYENZE za uso ni kawaida kwao, kama kuna amani basi binti mpole ni kucheka tu
Kweli tiba sio lazima kuonana na daktari
Sent using
Jamii Forums mobile app