Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiki kicheko kina maana kubwa sana. 2005 huyo dogo ama alikuwa bado yuko kwenye boksa ya mshua au ndo kwanza alikuwa anafakamia ziwa la mama. Eti anajifaragua tayari alikuwa mpiga kura [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mkubwa wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Huyo unayemwambia huo mwaka alikuwa ananyonya[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…