Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Epuka baadhi ya vyakula ambavyo husababisha harufu mbaya mwilini. mfano vyakula vyenye sukari, na mafuta kwa wingi na vitunguu swaumu husababisha kutoa harufu. Andaa chakula chako pamoja na matunda ambayo yatafanya utoe hewa safi kinywani mwako.
 
2.Gharama za kutengeneza Movie ya Titanic Ni Kubwa kuliko gharama za Kutengeneza Meli halisi ya Titanic iliyokuwa na uwezo wa kubeba watu zaidi ya elfu tatu! Movie ya Titanic ilitengenezwa kwa gharama ya dola Milioni miambili ($ 200Mil) wakati Meli ya Titanic ilikuwa na thamani ya $170 Mil.
 
3. Baada ya Kuona Meli inazama Maeneo yenye baridi kali, Mpishi Mkuu wa meli hiyo, alikunya pombe Kupita Kiasi ili aweze Kuhimili baridi Kali! Aliweza Kukaa masaa Mawili kwenye Barafu na Hatimae Kuokolewa.
 
1. Kukaa peke yako na kuanza kupiga hesabu kwa pesa ambayo hauna, utakuta kijana ametulia anaanza kupiga mahesabu nikipata milioni 10 nitafanya 1, 2, 3,……n.k. Na hii huwatokea vijana wengi sana.
 
5. Kufanya usafi siku anapokuja mgeni, na hii iko hasa kwa vijana wanaoishi “getto” na pia wadada wengi huwa na nguo za ndani zilizotoboka wakidai ni za kuvaa nyumbani, sijui siku ikitokea dharura itakuwaje mi simo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…