Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mungu awaponye wagonjwa [emoji120] [emoji120]
Jioni yetu iwe na amani na upendo....
Nimeambiwa wanachoma moto majoka yanakimbia
2. Mesut Ozil
Licha ya kuonekana mpole sana machoni, Ozil ni moja kati ya watumiaji mahiri wa sigara kitu ambacho hakimfurahishi kocha wake arsene wenger .
4.Ashley Cole
Kama kuna mtu anagonga vichwa vya habari kwa wingi kutokana na uvutaji wa sigara, basi Ashley cole anaongoza. Huanza kuvuta tu baada ya kupiga mpira wa mwisho kuashiria msimu umeisha. Sigara ndiye rafiki yake wa karibu hasa anapokuwa mapumzikoni
Zinedine ZidaneLicha ya kushiriki kwenye kampeni ya kuzuia uvutaji wa sigara mwaka 2002, Zidanne ameonekana mara kadhaa akipuliza moshi huo hatari kwa afya ya binadamu
Kwa nini unapaogopa?Ndivyo ilivyo lakini lazima kuna nyoka watabaki humo, mi bhana kwenye mashamba ya miwa napaogopa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unapaogopa?
AiseeKupoteza muda. Watu wengi huperuzi vitu visivyo vya msingi katika kompyuta na hivyo kupelekea kupoteza muda
Duh h!!WACHEZAJI KUMI WALIOKUBUHU KWA KUVUTA SIGARA
We ustaadh unanichukulia POA eeeh[emoji1787][emoji1787]Navyojua mwaka 2010 ulikuwa unalishwa cerelac kwenye kijiko[emoji23][emoji23]
Mungu atupe usiku mwema
We ustaadh unanichukulia POA eeeh[emoji1787][emoji1787]
2010 nilikuwa mmama
Sent using Jamii Forums mobile app