Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Yogurt nakunywa sana zile za Asas na kuna brand ya Kisongo huku pia nakunywaJuisi ya parachichi,yogurt zinanenepesha haraka ila wakishuaaa ungetuwekea ka picha tutoe ushauri mzuri na kwa haraka
Hata mim nakasubiriYogurt nakunywa sana zile za Asas na kuna brand ya Kisongo huku pia nakunywa
Kapicha ngoja watoto walale [emoji3][emoji3]
Eeh kumbe watoto hamjaisha tu