Mnamo mwaka 2007, Nchini bosnia , mtu mmoja alie kuwa na miaka 47, alie itwa Amir vehabovic, alidanganya amekufa ,lengo lake lilikuwa ni kuona watu wangapi wata uzuria madhishi yake ili kujua kama anathaminiwa.
Amiri alitengeneza mtu bandia mwenye ufanano kama wake, akiwa na maana kama ndio maiti yake na kuiweka kwenye jeneza, kisha yeye mwenyewe ,
kufanya matengenezo ya kujibadilisha muonekano(makeup) ili asijulikane na kujifanya kama nirafiki wa marehemu na kutoa taarifa juu ya kifo icho.
Chaajabu siku ya mazishi, alijitokeza mama yake pekee,na yeye mwenyewe ambapo alikuwa amebadili muonekano na kujifanya kama rafiki wa marehemu, hakuna rafiki wala ndugu wengine walio fika hapo.
Baada ya kuona hivyo, Amiri aliandika barua ,yenye ujumbe wa kuwakashifu na kuwatukana ndugu, jamaa na rafiki ambao hawakujitokeza na kusema kuwa alifake kifo chake .