moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
ββKinywaji hiki kinasaidia kurahisisha mmengβenyo wa chakula tumboni, lakini pia kutoa nafuu kwa wenye matatizo ya magonjwa ya kuhara na maumivu ya tumbo ikiwamo tatizo la kujaa gesi. Mwathiriwa anywe chai yenye majani hayo pekee kwa siku tatu mfululizo asubuhi na jioni.
Yaaan nmeishia kutoa chozi tyuuuh maan mziki wa PCM sitakaaa niusahau, tena ile Chem necta f6 2019 wallah watungaji hawaendi mbinguni. Duuuuuh mungu awe na hawa wadogo zetu. Maan ni hatareee San japo ni salama.Sasa sijui watasomaje Jamani
Hakuna muda wa kupumzika siku tatu mfululizo mitihani 6?huu utani.
PGM nao ni Moto yaani phys na geog,Tena geography 1..Bora ingekuwa geog2, PCM nako usiseme
Yaani siku moja unapiga kemia na physics halafu kibaya Zaidi wametoka home wanaenda kwenye necta[emoji16]
Watawapasua watoto vichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu atupe siku njema
Ndio mwezi umedondokea kwenye mti
Haha
Anatafuta ndezi huyo
ποΈββοΈ ποΈββοΈ ποΈββοΈ πππKila mtu ataubeba, mzigo wake mwenyewe [emoji443][emoji443][emoji445]
View attachment 1457823
Kama kawaidaAliyepo macho saa hii gonga like za kutosha hapa
kIongOzI Wa BaaDae