Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Tutakuja kweli ohooo !!!Memba wote wa uzi huu na nyuzi za jirani za Makapuku, Usiku wa manane, Selfika nk.
Karibuni kwetu Temeke Mikoroshini mtaa wa Kasorobo tule sikukuuuView attachment 1457906
Tualikane jamani, eeh! πEid Mubarak
Amesoma alama za nyakati. Obama mwenyewe watu wake wa karibu walishasema kuwa, hakuwa au hana mpango wa kuonana na yule mzushi tena. Huo utamaduni safari hii na ufe tu. πTrump amegoma kuhudhuria uzinduzi wa hii picha rasmi ya Obama itakayowekwa White House kama ilivyo desturi kwa marais waliotangulia....
View attachment 1457817
Tualike tuje tule pilau bana.
Umeona Sleepy Joe na kauli yake kuhusu blacks. Kaanza kuboronga mapemaaaa. Democrats kazi wanayo na wasipoangalia hili jamaa la ajabu ajabu Novemba litawaburuza tena [emoji16][emoji16][emoji16]Amesoma alama za nyakati. Obama mwenyewe watu wake wa karibu walishasema kuwa, hakuwa au hana mpango wa kuonana na yule mzushi tena. Huo utamaduni safari hii na ufe tu. [emoji3]
Yule Joe kila akifungua mdomo anaharibu, ni mtu wa kurekebisha makosa kila siku. Yaani anazichukulia kura za weusi kama halali yake kabisaaa. Watashangaa jamaa litakapowapiga bao la ugoko tena hapo November. π πUmeona Sleepy Joe na kauli yake kuhusu blacks. Kaanza kuboronga mapemaaaa. Democrats kazi wanayo na wasipoangalia hili jamaa la ajabu ajabu Novemba litawaburuza tena [emoji16][emoji16][emoji16]
Corona. Kila mtu ale kwaoTualikane jamani, eeh! π
Mwaka huu hata wale wachoyo utawasikia tu, Corona! ππ... Nakutakia Eid Mubarak njema, Numbisa.Corona. Kila mtu ale kwao
Ooh ulifanya 2016?Yaaan nmeishia kutoa chozi tyuuuh maan mziki wa PCM sitakaaa niusahau, tena ile Chem necta f6 2019 wallah watungaji hawaendi mbinguni. Duuuuuh mungu awe na hawa wadogo zetu. Maan ni hatareee San japo ni salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni nzuri Sis....how are you?Ni nzuri...?
hello sisy