moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Duh!kansa ya tumbo; utafiti umeonyesha kwamba nchi ambazo kuna ulaji mkibwa sana wa chumvi kama japani kuna wagonjwa wengi sana wa kansa ya tumbo la chakula ukilinganisha na nchi ambazo hazina ulaji mkubwa wa chumvi kama uingereza.
๐ ๐ ๐I have NEVER heard Pastors preaching about the Maps behind the Bible. I think they are hiding directions to HEAVEN from us. [emoji19][emoji23]