myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wapi Shimba....Walipomaliza kifungo chao walirudishwa nyumbani kwao kwa ndege. Jamii ya Mwanamalundi ilipoona ndugu yao amerudishwa kwa ndege wakaamua kumpa jina jipya, "Ng'wenhwandege", wakimaanisha "aliyerudishwa kwa ndege". Mwanamalundi anaaminika kuwa ndie msukuma wa kwanza kupanda ndege. ngosha wa kwanza kupanda ndege bagesh
Bado sitakusamehe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nitakupigia jioni niombe msamaha vizuri
Nipo jirani [emoji16][emoji16][emoji16]Wapi Shimba....
Hongera zake Ng'wanamalundi [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji16][emoji16][emoji16]Walipomaliza kifungo chao walirudishwa nyumbani kwao kwa ndege. Jamii ya Mwanamalundi ilipoona ndugu yao amerudishwa kwa ndege wakaamua kumpa jina jipya, "Ng'wenhwandege", wakimaanisha "aliyerudishwa kwa ndege". Mwanamalundi anaaminika kuwa ndie msukuma wa kwanza kupanda ndege. ngosha wa kwanza kupanda ndege bagesh
Pole sana Mtakatifu wa Bwana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nina majanga mengi mengi tu ila kubwa ni vidonda vya tumbo..vimenipambia Moto[emoji1787]
Ankoo Wewe ni wa kuondoka kimyakimya [emoji1751]?
Nimeshaona.Ngosha Ze Don aone hapa...
Akhsante sana kakangu[emoji120]Pole sana Mtakatifu wa Bwana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hapana[emoji1787]
Nimeona posti za babu yako.....alikuwa hatari sanaNipo jirani [emoji16][emoji16][emoji16]