Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Anhaa kumbe mjaluo wa Kenya!?!Kwani ina maana ulikuwa hujui?
Barack Obama mama yake ni mzungu raia wa Marekani.
Babake anaitwa Baraka Hussein Obama.
Mkenya wa Kisumu. Mjaluo ambaye baadhi ya ndugu zake wanapatikana wilayani Rorya Tanzania
Pole sana. Siyo watu wazuri aisee hasa pale wanapoamua kuleta madhara. Huyu sijui walimpulizia dawa au hata sijui
I miss you too, Nsamaka. I'm all grown up now. [emoji23][emoji23]
Amezira leo [emoji16][emoji16][emoji16]andjul, unajifanya kuchukua notice tu humu eeh, tumekuona! [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Watu watata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Usingizi gani huu?
View attachment 1466952
Aisee. Nitakuja unipeleke kwa wataalamu wa hivyo. Mwaka huu kuna mtu kachuma nyanya zangu akapakiza kwenye gari na kwenda zake. Hovyo sana !!!Watu watata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Huyu hafai kuwa mwizi.
Kule kwetu ileje ukiingia kuiba kwenye baadhi ya mashamba ya watu hautoki.. yaani utazunguka humo hadi mwenyewe atakapotembelea Shamba ndio akutoe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
andjul, unajifanya kuchukua notice tu humu eeh, tumekuona! [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Nimemuona mara moja moja anatoa like halafu huyo ndukiii. Inaonekana anakuogopa sana aisee. Ulimfanya nini mzee wa watu? [emoji16][emoji16][emoji16]Haamini km nimerudi aisee, hawezi kujitokeza kwsbb anahisi nimekuja kufuata mgawo wa pesa ya mauzo ya parachichi
Usimsikilize huyo, amesikia natafuta mchumba basi kila nikikatiza huyo anakuja kuziba njia. Nishamwambia mimi sitafuti mchumba mweupe na mwenye wezere; kwani ndio ugonjwa wake lakini bado tu, hahah! π π ππNimeona huko Shimba anasema eti sasa ndio uko 18, kumbe wkt ule ulikuwa 15 [emoji38][emoji38][emoji38]
Amezira leo [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona anamwogopa eksi wake vibaya sana [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Huyu dadangu unamjua?Usimsikilize huyo, amesikia natafuta mchumba basi kila nikikatiza huyo anakuja kuziba njia. Nishamwambia mimi sitafuti mchumba mweupe na mwenye wezere; kwani ndio ugonjwa wake lakini bado tu, hahah! [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]
Nimemuona mara moja moja anatoa like halafu huyo ndukiii. Inaonekana anakuogopa sana aisee. Ulimfanya nini mzee wa watu? [emoji16][emoji16][emoji16]
Usimsikilize huyo, amesikia natafuta mchumba basi kila nikikatiza huyo anakuja kuziba njia. Nishamwambia mimi sitafuti mchumba mweupe na mwenye wezere; kwani ndio ugonjwa wake lakini bado tu, hahah! [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]