D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Salama aisee. Watu wanaandamana kupinga uonevu. Device unayotumia kila siku imekuwaje? Umeidondoshea urojo ama? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]shida ipo kiupande wangu, bado sijawa na device ya uhakika ya kuniunganisha kwenye ulimwengu wa internet.
huko kwa waandamanaji munaendelea salama?
“Ukitaka kuvaa barakoa kashone yako, mbona ni rahisi tu, barakoa mbona imekaa kama titi moja la Mtu mmoja hivi limekatwa upande mmoja, weka huku kama... aaah samahani Mh.Waziri nimesema hapa, nilikuwa nachomekea tu kidogo” -JPMSalama aisee. Watu wanaandamana kupinga uonevu. Devina unayotumia kila siku imekuwaje? Umeidondoshea urojo ama? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]