Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Asante bageshi..Zote ila anabadilika kulingana na jinsi unavyomtumia.
Akiwa machungani tu anakuwa kwenye kilimo na mifugo.
Akibeba mizigo anakuwa kwenye uchukuzi.
Ukimkuta porini basi ni wizara ya utalii[emoji14]
Brazil eases lockdown despite record deaths, its president says death is 'everyone's destiny'
[Read Full Article]
Hali yao siyo nzuri. Wanateketea sana. Kuna eksi wifi yako huko anasema hali siyo nzuri. Mungu Awasaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sijafatilia kwa muda habari za hawa wenzetu, yale makaburi yalinitisha nikaacha kbs kujua kinachoendelea.
sio ugonjwa, Helicobacter pylori (H. pylori)H pyroli nani anaujua huu ugonjwa
Asante bageshi..
Mmeamkaje huko?
Hali yao siyo nzuri. Wanateketea sana. Kuna eksi wifi yako huko anasema hali siyo nzuri. Mungu Awasaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sijambo bro. Ulipotelea wapi? Shemeji Ayyanna alishajifungua? Karibu tena bro....za siku nyingi bro SHIMBA YA BUYENZE
Marahaba sis.Hatujambo kaka.
Shikamoo once again [emoji3059][emoji38].
Jpili hii ni siku ya Bwana!